Ufafanuzi wa marinda katika Kiswahili

marinda

nomino

  • 1

    mikunjokunjo ya nakshi katika nguo iliyopindwa kwa ndani.

Matamshi

marinda

/marinda/