Ufafanuzi wa masala katika Kiswahili

masala

nominoPlural masala

  • 1

    unga wa bizari ndogo utumikao katika kupika mchuzi; unga wa jira; mchanganyiko wa viungo.

Matamshi

masala

/masala/