Ufafanuzi wa masalo katika Kiswahili

masalo

nominoPlural masalo

  • 1

    mchuzi mzito uliotayarishwa kwa kuchanganya nyanya nyingi, vitunguu na pengine ngogwe.

  • 2

    nyanya zilizopondeka katika tenga.

Matamshi

masalo

/masalɔ/