Ufafanuzi wa mashaka katika Kiswahili

mashaka

nominoPlural mashaka

  • 1

    mambo magumu yanayomfika mtu katika maisha.

    taabu, dhiki, adha, usumbufu, udhia

Matamshi

mashaka

/ma∫aka/