Ufafanuzi wa mashambulizi katika Kiswahili

mashambulizi

nominoPlural mashambulizi

  • 1

    upigaji wa kutumia silaha kwa kuvamia katika vita.

    ‘Maadui walifanya mashambulizi ya ghafla’

  • 2

    vurumai kali zinazofanywa dhidi ya lango la mpinzani katika mchezo wa mpira.

Matamshi

mashambulizi

/ma∫ambulizi/