Ufafanuzi wa mashariki katika Kiswahili

mashariki

nomino

  • 1

    upande jua linakochomozea; upande wa kulia wa dira.

    macheleo, matlai

Asili

Kar

Matamshi

mashariki

/ma∫ariki/