Ufafanuzi wa mashobo katika Kiswahili

mashobo

nomino

  • 1

    tabia ya maringo.

    mikogo

Asili

Kar

Matamshi

mashobo

/ma∫ɔbɔ/