Ufafanuzi wa mashua katika Kiswahili

mashua

nominoPlural mashua

  • 1

    chombo cha majini kilichotengenezwa kwa mbao au plastiki na kuendeshwa kwa makasia, tanga au mashine na kupakia watu au mizigo.

Asili

Kar

Matamshi

mashua

/ma∫uwa/