Ufafanuzi wa masihara katika Kiswahili

masihara

nominoPlural masihara

  • 1

    matendo ayafanyayo mtu kwa ajili ya kumtania mwingine.

    utani, dhihaka, mchezo, mzengwe, mzaha

Asili

Kar

Matamshi

masihara

/masihara/