Ufafanuzi wa masika katika Kiswahili

masika

nominoPlural masika

  • 1

    majira ya mvua nyingi za mfululizo katika ukanda karibu na Ikweta.

    kifuku

Matamshi

masika

/masika/