Ufafanuzi wa masikilizano katika Kiswahili

masikilizano

nominoPlural masikilizano

  • 1

    hali ya kuafikiana kwa watu katika mashauri.

  • 2

    hali ya kuwa na uhusiano mzuri baina ya watu.

    ‘Juma hana masikilizano na wazazi wake’

Matamshi

masikilizano

/masikilizanɔ/