Ufafanuzi wa masivina katika Kiswahili

masivina

nominoPlural masivina

kishairi
  • 1

    kishairi aina ya mashairi yasiyofuata urari wa vina na mizani.

    mapingiti, guni

Matamshi

masivina

/masivina/