Ufafanuzi wa maskini katika Kiswahili

maskini, masikini

nominoPlural maskini

  • 1

    mtu asiyekuwa na pato la kutosha.

    fukara, mkata, mtule, dhalili, dhilifu, kibapara, fakiri

  • 2

    mtu asiyeweza kujikimu kutokana na upungufu mwilini k.v. kilema.

    nyonge

Asili

Kar

Matamshi

maskini

/maskini/