Ufafanuzi wa masmuma katika Kiswahili

masmuma

kivumishi

kishairi
  • 1

    kishairi -enye sumu.

    ‘Na mishare masmuma na turusi akatwaa’

Asili

Kar

Matamshi

masmuma

/masmuma/