Ufafanuzi wa masombo katika Kiswahili

masombo

nominoPlural masombo

  • 1

    nguo inayoviringwa na kufungwa kiunoni.

    kibwebwe, mahazamu

  • 2

    mvao wa kujizingirisha nguo k.v. shuka kiunoni.

Matamshi

masombo

/masɔmbɔ/