Ufafanuzi wa mastaajabu katika Kiswahili

mastaajabu

nominoPlural mastaajabu

  • 1

    jambo ambalo si la kawaida na lenye kushangaza.

Asili

Kar

Matamshi

mastaajabu

/masta:ʄabu/