Ufafanuzi wa masurupwete katika Kiswahili

masurupwete

nomino

  • 1

    nguo zilizochakaa na kuchanikachanika.

Matamshi

masurupwete

/masurupwɛtɛ/