Ufafanuzi wa matakwa katika Kiswahili

matakwa

nominoPlural matakwa

  • 1

    jambo ambalo mtu analitaka.

    haja, mahitaji, matilaba, maombi

Matamshi

matakwa

/matakwa/