Ufafanuzi wa matanda katika Kiswahili

matanda

nomino

  • 1

    mbolea inayotokana na mlundikano wa majani makavu kwenye shina la mmea.

    mboji

Matamshi

matanda

/matanda/