Ufafanuzi wa matandu katika Kiswahili

matandu

nominoPlural matandu

  • 1

    tabaka gumu la wali lililo juu katika sufuria au chungu kutokana na moto uliowekwa juu ya mfuniko.

Matamshi

matandu

/matandu/