Ufafanuzi wa matarajio katika Kiswahili

matarajio

nominoPlural matarajio

  • 1

    kitu kinachotumainiwa kupatikana.

    ‘Matarajio langu ni kwamba atakuja leo’
    lengo, nia, tegemeo

Matamshi

matarajio

/mataraʄiɔ/