Ufafanuzi wa matata katika Kiswahili

matata

nominoPlural matata

  • 1

    mvurugiko wa mambo; hali ya vurugu.

    chachawizo, ghasia, fujo, ugomvi, sokomoko, kimondo, koto

Matamshi

matata

/matata/