Ufafanuzi wa matazamio katika Kiswahili

matazamio

nominoPlural matazamio

  • 1

    hali ya kutarajia au kungojea tukio fulani.

Matamshi

matazamio

/matazamijɔ/