Ufafanuzi wa mate katika Kiswahili

mate

nomino

  • 1

    majimaji yaliyoko kinywani yanayosaidia kulainisha chakula na kukitelezesha kooni.

Matamshi

mate

/matÉ›/