Ufafanuzi wa matege katika Kiswahili

matege

nomino

  • 1

    miguu iliyopindika kwa nje kuanzia magotini na kuacha nafasi kubwa kati ya mguu mmoja na mwingine.

Matamshi

matege

/matɛgɛ/