Ufafanuzi wa matengenezo katika Kiswahili

matengenezo

nominoPlural matengenezo

  • 1

    utengenezaji wa kitu kilichoharibika na kukifanya kifae tena.

    ukarabati

Matamshi

matengenezo

/matɛngɛnɛzɔ/