Ufafanuzi wa mateso katika Kiswahili

mateso

nominoPlural mateso

  • 1

    mambo ya kumwadhibu au kumtaabisha mtu au mnyama.

    madhila, maonevu

Matamshi

mateso

/matɛsɔ/