Ufafanuzi wa mathalan katika Kiswahili

mathalan, mathalani

kiunganishi

  • 1

    mfananisho wa jambo au kitu kimoja kwa kingine; kwa mfano; kama ingekuwa.

Asili

Kar

Matamshi

mathalan

/maθalan/