Ufafanuzi wa matilaba katika Kiswahili

matilaba

nominoPlural matilaba

  • 1

    nia ya kutenda jambo; kusudio hasa.

  • 2

    matarajio, haja, mradi, matakwa

Asili

Kar

Matamshi

matilaba

/matilaba/