Ufafanuzi msingi wa matu katika Kiswahili

: matu1matu2

matu1

nominoPlural matu

  • 1

    wasiwasi au shaka iliyochanganyika na hofu.

Matamshi

matu

/matu/

Ufafanuzi msingi wa matu katika Kiswahili

: matu1matu2

matu2

nominoPlural matu

  • 1

    vidonge vya unga usioiva k.v. wakati wa kusonga ugali au kupika uji.

    budaa, mavumbo

Matamshi

matu

/matu/