matubwitubwi1 , matumbwitumbwi
nominoPlural matubwitubwi
- 1
uji usioiva vizuri na wenye matu.
Matamshi
matubwitubwi
/matubwitubwi/matubwitubwi2 , machubwichubwi
nominoPlural matubwitubwi
- 1
ugonjwa wa kuambukiza wa kuvimba mashavu mpaka chini ya taya, hususani kwa watoto.
machapwi, perema, mafindofindo