Ufafanuzi wa matumbo katika Kiswahili

matumbo

nomino

  • 1

    michango na nyama za ndani ya tumbo.

  • 2

    kiungo cha mwili wa mnyama kinachopitisha chakula wakati wa mmeng’enyo.

Matamshi

matumbo

/matumbɔ/