Ufafanuzi wa mauko katika Kiswahili

mauko

nominoPlural mauko

  • 1

    hali ya kuondoka; uondokaji.

  • 2

    hali ya kutoka duniani.

Asili

Kar

Matamshi

mauko

/mawukɔ/