Ufafanuzi wa maumbufu katika Kiswahili

maumbufu

nomino

  • 1

    mambo yenye kuleta aibu.

Matamshi

maumbufu

/mawumbufu/