Ufafanuzi wa maumivu katika Kiswahili

maumivu

nomino

  • 1

    uchungu au kichomi anachopata mtu kutokana na ugonjwa au jeraha.

Matamshi

maumivu

/mawumivu/