Ufafanuzi wa mauzo katika Kiswahili

mauzo

nomino

  • 1

    uuzaji

  • 2

    fedha zilizopatikana katika biashara.

    mapato, maduhuli

Matamshi

mauzo

/mawuzÉ”/