Ufafanuzi wa mavulia katika Kiswahili

mavulia

nomino

  • 1

    nguo zilizotumika anazotoa mtu kumpa mwingine.

Matamshi

mavulia

/mavulija/