Ufafanuzi wa mavyaa katika Kiswahili

mavyaa

nominoPlural mavyaa

  • 1

    jina ambalo hutumiwa katika kuitana baina ya mke na mama wa mume wake.

Matamshi

mavyaa

/mavja:/