Ufafanuzi wa mawaidha katika Kiswahili

mawaidha

nomino

  • 1

    maneno ya maonyo au mafunzo, agh. ya kidini, na yenye mwongozo.

  • 2

    mausia, mashauri.

    waadhi

Matamshi

mawaidha

/mawaIĆ°a/