Ufafanuzi wa mawano katika Kiswahili

mawano

nominoPlural mawano

  • 1

    kiapo kinachoapwa kwa kutumia kijiti na kamba huku mtu akinuia.

    ‘Mwisho wa mawano patakata shindo’

Matamshi

mawano

/mawanÉ”/