Ufafanuzi wa mawasiliano katika Kiswahili

mawasiliano

nominoPlural mawasiliano

  • 1

    upashanaji habari kwa njia mbalimbali k.v. simu, barua au teleksi.

  • 2

    njia za usafiri.

    ‘Hakuna mawasiliano ya barabara baina ya mikoa hii’

Matamshi

mawasiliano

/mawasilijanɔ/