Ufafanuzi wa mawe! katika Kiswahili

mawe!

kiingizi

  • 1

    tamko la kuonyesha dharau kwa mtu kuwa hawezi kuthubutu kufanya jambo lolote.

    ‘Unasema utanipiga?’
    mavi!

Matamshi

mawe!

/mawɛ/