Ufafanuzi wa mawewa katika Kiswahili

mawewa

nomino

  • 1

    maji safi sana yanayowezesha mtu kuona kilichomo ndani.

Matamshi

mawewa

/mawɛwa/