Ufafanuzi wa maziko katika Kiswahili

maziko

nomino

  • 1

    kitendo cha kumweka maiti kaburini; shughuli za uzikaji.

Matamshi

maziko

/mazikÉ”/