Ufafanuzi wa maziwa katika Kiswahili

maziwa

nomino

  • 1

    kiowevu kizito na cheupe kinachotoka kwenye titi la mnyama au binadamu wa kike.

  • 2

    kiowevu kinachofanana na maziwa au tui k.v. utomvu wa mti.

    kiamo