Ufafanuzi wa mazoea katika Kiswahili

mazoea

nominoPlural mazoea

  • 1

    jambo analolifanya mtu mara kwa mara mpaka ikawa ni kawaida yake.

    amali, desturi, ibada, kawaida

Matamshi

mazoea

/mazɔwɛja/