Ufafanuzi wa mbabe katika Kiswahili

mbabe

nomino

  • 1

    mtu mkubwa mwenye nguvu.

    mkota, mtemi, mwamba

  • 2

    mhusika mkuu na shujaa katika sinema au riwaya na ambaye mara nyingi hushinda.

Matamshi

mbabe

/m babÉ›/