Ufafanuzi wa mbangi katika Kiswahili

mbangi

nomino

  • 1

    mmea ambao mbegu zake hutengeneza mafuta na majani yake hutengenezwa bangi ya kuvuta na kulevya.

Asili

Kaj

Matamshi

mbangi

/m bangi/