nominoPlural mbarika
- 1
kokwa za mbono au nyonyo zinazotoa mafuta yanayotumika kama dawa ya tumbo na kulainisha viungo vya mwili.
nyonyo, mbono
nominoPlural mbarika
- 1
mbuzi au ng’ombe jike ambaye hajazaa.
mtamba
kokwa za mbono au nyonyo zinazotoa mafuta yanayotumika kama dawa ya tumbo na kulainisha viungo vya mwili.
mbuzi au ng’ombe jike ambaye hajazaa.