Ufafanuzi wa mbaruti katika Kiswahili

mbaruti

nominoPlural mibaruti

  • 1

    mmea wenye majani yenye miba na maganda ambayo mizizi yake ni dawa ya tumbo.

Matamshi

mbaruti

/m baruti/